Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 22
5

SIO MPAKA DOCTOR ASEME . . SAVE THE DATE SATURDAY of 4th November 2017 from 6:30AM - 10AM . . TUTAFANYA MAZOEZI PAMOJA , utajua mazoezi gani ya kufanya mwenyewe ukiwa nyumbani , mazoezi gani best ya kila part ya mwili wako . Utajua ule nini wakati gani kwa ajili gani kutoka kwa MTAALAMU WA MAMBO YA AFYA NA LISHE . MIRIAM MAUKI @miriamlukindowamauki atapika kabisa milo kadhaa faster uone jinsi il

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 22
8

The past 3 days have been my best mana i have been meeting amazing people who are ready to learn what to do to be more in life , its an opportunity for everyone really . . Kwanini tulalamike HAKUNA AJIRA . Mishahara haitoshi . Kupunguzwa maofisini . Makampuni kufa . Madeni . Biashara haziendi . Kutoona maisha mbele yatakuaje . Unatamani kusafiri dunia ila hujui wapi pa kianzia . And yet kuna TECHN

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 21
2

21.10.2014 we had a chance to attend the LEADERS SUMMIT by The LATE DR.MYLES MONROE . . It was POWERFUL and i will always treasure that day . . May His soul and the soul of his beautiful Wife rest in peace Always 🙏🙏🙏 #LeadershipSummit #DrMylesMonroe #SerenaHotel

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 21
2

21.10.2014 . . ‘Business is giving solutions to the existing or later challenges’ ~ The Late Dr Mykes Monroe

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 21
16

Its our dad’s birthday today , AFANDE G.A. KUNDYA 😂😂😂💃💃💃 and we wish him nothing but more happiness , good health , more wisdom and more Fear of God 🙏🙏🙏 . . Happy birthday Dad 💥💥💥 @delis_kundya @aleciiy @_gorethy_ ... i am blessed to have all of you 😍😍😍 ... I LOVE YOU #WatotoWaPolisi #WatotoWaLine 😂😂😂💪💪

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 20
3

Thank you my dear Flora @the_bakes_gallery hizi cakes ni tamu balaa , enjoyed it on my cheat day , leo nimegawa kwa some few friends as well for them to enjoy it 💃💃💃 . . Hii Fruit cake nimependa ulivoweka more fruits mana wengi wanaweka only dried grapes ila wewe umetisherrrr . Kaweka anchor unsalted butter,dried fruits pineapple,cherries,grapes,almonds,and strawberries, maziwa ni low fat . Hio

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 19
23

Jamani huyu mama ni mwema paka basi , walimu wa zamani ni wasweet sana ... mama yangu pia ni msweet paka basi . . Sasa Mwalimu wenu huyu wa Chemistry ambae ni Mkuu wa Shule Msaidizi upande wa Academics anaewapenda na mnaempenda anaomba mrudi kama Alumni wa Jangwani kusaidia mambo kadhaa hapo kwa ajili ya wadogo zetu . #jangwanigirls #JangwaniAlumni#FormFourGraduation #GuestOfHonour

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 19
1

Hongera sana Theresia for an outstanding perfomance . Keep on flying higher and higher and ALL THE BEST IN YOUR FINALS 💪💪💪

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 19
9

Asanteni sana Jangwani Girls Secondary School kwa heshima mmenipatia ya kuwa MGENI RASMI na hii zawadi nzuri sana ya Wall Picture siku zote itanikumbusha hii siku . . Nimejifunza sana , nimefurahi sana kwa performance mbali mbali zilizokuwepo . Ilikua siku nzuri sana na hongereni sana Form Four Graduates na nawatakia mitihani mema 🙏🙏🙏

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 19
10

Leo nimepata chance ya kuwa MGENI RASMI , kuwapongeza , kuwatia moyo na kugawa vyeti vya kuhitimu WASICHANA WETU WA JANGWANI SEKONDARI , FORM 4 . . Chances kama hizi sio za kuchukulia kawaida , ni kumshukuru Mungu kwa safari ya maisha , kujipongeza kwa chances nlizozichukua ata wakati wengine walikua hawaamini kama inawezekana na kujikumbusha kuwa hatua kubwa mtu unayopiga sio kwa ajili yako tu n

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 18
3

You can choose to see what you want to see , POSSIBILITIES or CHALLENGES . . Right now , I ONLY SEE ENDLESS POSSIBILITIES 💪💪💪

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 18
35

Jana na leo nimekua nikikutana na baadhi ya vijana kushare nao ni jinsi gani ya kujenga biashara yao kwa muda wa ziada na jinsi ya kutumia Mitandao ya kijamii vizuri na nimekua na siku nzuri sana. . . Kazi kwao sasa kuamua kuondokana na changamoto za kiuchumi kwa kufanya kazi . . Kwa mimi ni bora kukutana kuliko kuchat mana utaelewa zaidi na tutatumia muda mfupi zaidi so wale ambao mpo DAR na bad

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 18
10

TIP : Unajua kuwa wanawake wengi wanabakia over weight baada ya kujifungua ? Hivo hakuna guarantee kwamba baby weight itaondoka ila pia ni raha kupungua vizuri ukapendeza zaidi ... TUMBO JE ? KUMAINTAIN BAADA YA KUPUNGUA JE ?

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 16
15

I am looking for people who are open minded , looking for more in life , ready to learn , ready to make mistakes , ready to work for the goals they have . . You don’t have to quit what you are doing, i will show you how you can work on a part time basis without compromising your current career

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 15
1

😂😂😂😂 @miriamlukindowamauki you are the funniest person i know ... naandaa mbavu zangu for 4th November for the most exceptional event at LEADERS CLUB GROUNDS . Ukimwongezea na @chrismaukiphd ndo itakua balaa 😂😂😂 . The TIA Youth Business Forum was a great start for these events 💪💪💪

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 15
8

About yesterday evening. Blue and🌹 Gold heels 😍😍😍#Weddintings

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 14
15

What an uplifting business forum it was today at TIA . So many ideas to help anyone who was here to make a step forward towards the best life ahead . . Its my hope that i have personally inspired a number of students here to venture in Network Marketing, Forever Living Products specifically as this is the business idea that I personally believe in and I AM READY TO SUPPORT ANYONE WHO WISHES TO UN

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 13
10

The only things you should regret are the risks in life you didn’t take .

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 13
0

Its TOMORROW, how can you not be among the 500 Youth Of Tanzania that are hungry for ideas that can help them move forward? I personally can’t wait to learn from all the other speakers 💪💪💪 . You will learn how to brand yourself and your business . How you can take your Agriculture business to the next level . How you can go about legal processes when starting your business . Why Network Market

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 11
0

Google The best Aloevera gel in the world 💃💃 . Pendo Chaula ni Daktari and so anaelewa umuhimu wa kutoka jasho . . And kuna watu ambao wanazuia jasho kutoka especially makwapani kwa kutumia deudorants na pia kwenye ngozi kawaida sometimes kwa kutumia some products. Kutoka jasho ni MUHIMU na hivo kama hutoji jasho ujue kuna njia kubwa sana ya kutoa uchafu mwilini ambayo haifanyi kazi . . Yani kila

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 10
1

So these powerful minds came together earlier today to plan for an event that will definately be a talk of town and so you should not plan to miss it on the 4th of November, 2017 . . KEYNOTE SPEAKERS : Chris Mauki @chrismaukiphd and his beautiful wife Miriam Mauki @miriamlukindowamauki DRESSCODE : Sports gear . So you can imagine , you have never attended one like this 👌👌👌 . I will keep you post

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 10
2

SAVE THE DATE 4.11.2017 . . Some women fear the fire , some women simply become it 🔥🔥🔥 . @miriamlukindowamauki @blandinanjau @betsiesalema Something amazing is cooking . Stay tuned👌👌👌 . #SioMpakaDoctorAseme

Veronica Kundya @veronicakundya on Instagram photo October 9
2

When you see these women together then just know something is cooking. . @onamwanitu , Mama Matinde @taswes_saccos asanteni sana for a very productive afternoon , laughed but most importantly I learnt a lot , you are awesome 😍😍😍

Popular Now

SHAKLEE JDT 🇲🇾 @shakleebyzai on Instagram photo October 23
+ Board

Jom kuruskan secara sihat dan semulajadi. TIADA kesan sampingan kerana ia berasaskan bahan2 semulajadi. Konsep kurus dengan Shaklee ini mudah, tak perlu ikat perut atau skip makan. . . Bagaimana supplemen Shaklee ini membantu? . 🔥LECITHIN - memecahkan dan mencairkan lemak yang tak diperlukan dalam badan agar mudah dibawa keluar - meleraikan toksin dalam badan sekaligus bantu sembelit . 🔥OMEGAGUARD

جريدة الوطن الالكترونية @watannews on Instagram photo October 23
+ Board

الرئيس التركي أردوغان: الذين تجاهلوا الوحشية في البوسنة سابقًا هم من يلتزمون الصمت إزاء الوحشية التي يشهدها إقليم أراكان حاليًا للمزيد.. تابعنا عبر جريدة الوطن الالكترونية WWW.KUWAIT.TT

Genrifinadi Pamungkas @gepamungkas on Instagram photo October 23
+ Board

Pasang volumenya ampe poll ya. Semua laki2 kayak gini kok, tingkah lakunya. Beneran!! Iya kan???? #GEnji @nonangie

Beauty👩🏼‍⚖️Queen @beautyqueen.ly on Instagram photo October 23
+ Board

تخفيضات شهر اكتوبر (بينكي باكج) ارواج اسنس قلوسي رقم 07 و رقم 13 بعد التخفيض للقطعة الواحدة : 14 دل #DiscoutBQ

Tom DeBlass @tomdeblass on Instagram photo October 23
+ Board

Congratulations to @garrytonon for taking yet another EBI title. I legit can't keep track of how many times these kids won EBI. Awesome work!!!

دکتر فرخ , لیفت با نخ @dr.zeynab.farokh on Instagram photo October 23
+ Board

. 🍀برداشتن لک صورت: یکی از علل مراجعه بیماران مخصوصا خانم ها به متخصصین پوست ، به وجود آمدن لک های قهوه ای و تیره به نام ملاسما یا کلوآسما بر روی سطح پوست می باشد. این مسئله هر چند که تنها بر روی پوست ایجاد می شود اما ممکن است باعث مشکلاتی در فرد شود به همین دلیل معمولا برداشتن لک صورت برای رفع این مشکلات انجام می شود. . 🍀انواع لک صورت : . ▫نوع سطحی : رنگدانه ها در این نوع در قسمت های سطحی پوست ا

Mintt Mintt @rpornbrand on Instagram photo October 23
+ Board

320฿ 🇰🇷Moltida.Studio 🇰🇷 งานคุณภาพ สไตล์เกาหลี สถานะ : พร้อมส่งจ้า Available Now Best Quality 💯 Detail : เสื้อลูกไม้ แขนซีทรู เล่นพีช งานสวย 💯% เกร๋มาก อยากแซ่บก็ไม่ต้องใส่ตัวใน อยากเรียบร้อยก็ใส่ตัวในนิสนึง Colour : 3สี ขาว. ดำ. เบจ เสื้อ : Bust(อก) : 32-38 Length(ยาว) : 23"

Mintt Mintt @rpornbrand on Instagram photo October 23
+ Board

320฿ 🇰🇷Moltida.Studio 🇰🇷 งานคุณภาพ สไตล์เกาหลี สถานะ : พร้อมส่งจ้า Available Now Best Quality 💯 Detail : ชีฟองเนื้อทรายอัดพลีทอย่างดี ลื่นใส่สบาย ติดกระดุมหน้า และมีเชือกผูก เซ็กซี่นิสๆ เก๋ที่แขนด้วย ผ้าไม่บางค่ะ Colour : 5สี ขาว. ดำ. พีช. เทา เบจ เสื้อ : Bust(อก) : 32-42 Length(ยาว) : 25"

ห้างทองคุณเฮง ทองเยาวราช @khunhenggold on Instagram photo October 23
+ Board

แหวน น้ำหนัก 2 สลึง (ทองเยาวราชทุกชิ้น) ----------------------------------- สั่งซื้อ/สอบถามราคา ได้ทางข้อความนะคะ เนื่องจากราคาทองเปลี่ยนแปลงตลอดทุกวันจ้า 📍FB : http://m.me/kh.gold หรือ https://www.facebook.com/messages/t/kh.gold 📍Line : @khgold (มี@ด้วยนะคะ) หรือ https://goo.gl/fsbyFF 📍IG : khunhenggold ----------------------------------- ห้างทองคุณเฮง ทองเยาวราช ชั้น 1 เดอะมอลล์ นครราชสีมา **ทาง

أنداري يزم !! 🎠 @andari.yzm on Instagram photo October 23
+ Board

اقزاامي انبسطووو😂😂😂😂🐸🐸 @andari.yzm .#jaradat🌚🚬🚬🚬🤔🤔🎆🎇😁😂😂😂😂 . Likes ➕ comments 💬👍 . . 🔝🔝🔝🔝🔝🔝🔝🔝🔝 . . 彡сỏммêит + liЌe 💬💃彡
⠀
‏↴ Follow 👉 ADMIN 👉 @luaidraw Follow 👉 ADMIN 👉 @luainat Follow 👉 ADMIN 👉 @luaidraw . . #من_الاردن_الي_كل_الوطن_العربي 🇯🇴 ⬅⬅🌍 . . #بدعمكم_نستمر_للأفضل_منشن_للأصدقاء_ليزيد_الجمال👑💠🌼🍃 . . . #الاردن #فلسطين #سوريا #العراق #مصر #السعودية #ليبيا #المغرب #الجزائر #البحرين #قطر #الص

Наращивание Ресниц @dmglaza on Instagram photo October 23
+ Board

ЗАПИСЬ 89266171412 http://vk.com/dmglaza Полный объем - 2500 Наращивание ресниц 1,5D - 2700 Наращивание ресниц 2D - 3000 Наращивание ресниц 3D - 3500 Голливудский объем (5-6 ресничек на одну свою) - 3500 Royal объем (8-12 ресничек на одну свою)- 3500 Уникальная техника протезирования ресниц (для клиенток, у которых большие промежутки между ресницами) Коррекция до 3-х недель (21 день) - 1800, 2000,