@basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 16
2

SASA MTIKISIKO WA DUNIA UNAKUJAAAA... HAKUNAGA KUBAHATISHA WALA KAZI VIBUDUUUUU 😀😀😀😀😀😀🏃🏃 @Regrann from @wemasepetu - The Wait Is Over Ladies & Gentlemen... Iam sooo EXCITED...!!! Its Going Down... Ni ileeee Movie inayokuja ku-ShutDown kila Kitu... Tunaanza CountDown kama Hivi.... Nadhani Mnajuaga Sinaga Kazi Mbovu.... I know You all Missed Me.... Well, I missed You too...😉😉😉 #RoadToHeaveSentPremi

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 16
2

LiAgnes Likiona Picha Hii Tena Litapata Ujauzito Huko Aseme Wako 😀😀😀😀😀😀😀🏃🏃🏃 Maana Picha Kali Kaka ..ntaipost Mpaka Vidole Vitoe Damuuuuu!!! @Regrann from @idrissultan - SultanXforemen 🖤 ... @sultanbyforemen - #regrann

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 16
9

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 @idrissultan @Regrann from @docta_ulimwengu - ⭐️ ⭐️ ⭐️ ⭐️ ⭐️ @sultanbyforemen #20th #24th - #regrann

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 16
18

@wema_kadinda @zubeda.totoo @fettykelly50 @chichi_superwoman @umbea_daily @basmalatiMhando_tangaline... #TeamCentral Ijumaa In shaa Allah!! Yarabb Simama Nasiii In Shaa Allah

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 16
7

Kwenye Page Yangu Hakai Mkaa Uchi Wa Nyama Kwanza!!! Alafu Weeee Agnes Sijui Sio Wewe Unajifanyisha Sitaki Kujua Ila Nnachoweza Kusema Ni Kitu Kimoja Tuuu Uwe Agnes Fake Au Original Unachotakiwa kujua #Wazigua Hawalagi Vibudu Jinga Wewe!!! Sasa Kama Ni Wewe Ushike Adabu Yako Wewe Ni Sawasawa na Mzoga Kukula Kwetu Haramu!!! Alafu Kama Sio Wewe Unatumia Slope Kupaisha Kiacc Chako Tafuta Wa Size Yako

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 16
3

@Regrann from @choicefm_tz - Inasemekana kuna kigogo anayetaka African female vocalist @mauasama aache kuimba zimeteka mitandao.....lakini ukweli wa kila kitu utamsikia akisanuka kwenye #MtaaWaPili wa 102.5 #ChoiceFm na mastori mengine yatadondoka hapa hadi saa kumi kamili jioni, pia una freedom ya kumwaga wino wako. #Freedom #IshiNaMimi - #regrann

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 16
5

Napambana Na Hali Yangu Ya Kupost Za TbT Ila Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌👌👌👌!!!!

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 16
3

Download #WemaApp kwa wale wenye simu za Android tu nenda Playstore Ukadownload Kifurushi kipo cha 1000/=kwa mwezi) Kifurushi cha 2500/=miezi 3 Kifurushi cha 5000/=miezi 6 na Kifurushi cha 10000/= kwa mwaka mzima 🙌🙌🙌 Wajanja wote tuko huko unasubiri nini @wemasepetu App kiganjani mwako.........

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 16
2

@Regrann from @idrissultan - Respect our models, sio kila mdada aliye kaa kaa uchi tu anaitwa model 😏.. Flaviana is a model, Herieth Paul is a Model, Millen is a model, Maggie Vampire is a model, Niler is a model, Lorraine is a model, Julitha, Cherie , Dax is a model, Ben breaker ni model, Lota, Dieitrich ni model na wengine wengi tu wanafanya runways na billboards na hata wale wanaofanya social

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 7
17

Hatari Bin Balaaa 😀😀😀😀😀😀✌✌✌ Huyo kenge Sijui Mamba Atajijua Mwenyewe!!! Alafu Aliyenunua Iko Kiatu Kama Namkumbuka Vile @wemasepetu Maana Ni Hatari Bin Balaaa 😀😀😀😀

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 7
4

Kitu kipyaa Hakikisha Unadownload #WemaApp💗 inakuja kama hivyo Hapo unavyoona kisha Utafanya malipo basi utafurahi kama ninavofurahi mimi kuwa kwenye App ya @wemasepetu #SupportWemaSepetu🙌🙌🙌🙌 Tigopesa ndio Utaanza kufanya nayo Malipo

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 7
4

#IshiNaMimi ikiwa Unamuogopa Allah sw... Maana Ntaenda Kuulizwa Juu Yako!! Na Wewe Utaulizwa Juu Yangu!! #TeamTanzania Yenye Khofu Na Siku Ya Mwisho Ya Hukumu Kwa Allah sw!!! Acheni Kuneng'eneka Duniani Mtakuja Neng'eneshwa Kwa Mola Asiye Na Mwanzo Wala Mwisho!!! Leo Nimepanick Vibaya Mnooooo!! 😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 7
14

Nauliza Swali!! Hivi Kuna Mwenye Mamlaka Kuzidi Allah sw!! Hivi Kuna Hakim Kuzidi Maulana Sw!! Hivi Kuna Mwenye Nguvu Na Uwezo Kushinda Qahar Asiye Na Mshirika!! Ukiona Gumu Limekufika Mtazame Aliyepopote Anayeweza Badili Lolote Lile!!! Siku Ya Hukumu Ya Allah sw Ikifika Tutajua Nani Kidume !!!

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 7
13

Ningeamua Kutafuna Nyama Kwa Kupitia Meno Yangu Ya Mbele Yenye Mwanya!!! Ningetumia Makoleo Kutolea Nyama Iliyong'ang'ana Wallah!! Ingenicost Mnooo!!!! 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 6
8

@Regrann from @wema_kadinda - Wemas Bae Cc @chichi_superwoman @basmalatimhando_tangaline nawapendraaa😘😘😘 - #regrann Nakupenda Pia..😘😘😘😘✌✌✌

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo August 6
14

Nataka Kujua Sauti Ya Room Inakuaje!!! @wemasepetu 😀😀😀😀 Kuna Watu Kufundwa Haitapitika Kazi.... Download #WemaApp kuna Mambo Mazur Yaja... Usisahau Movie Yetu Mpya #HeavenSent Tunaitawanyia Humo!! Usiwe Wa Mwisho Kupata Mautamu Ya Toto La Kinyamwezi!!! #Shubaamiti Kama Nimepanick Hivi 😀😀😀😀🏃🏃🏃🏃

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo July 22
5

Daaaah!! Jana nimegundua kuwa Tunaabudu Sana Mitandao kuliko chochote kilicho Chema!! Yaani mtu yuko Tayari kupinga ukweli uliopo ili Muradi afurahishe Baraza!!! Yaani ushauri wangu Ni kheir upige kimya usuongeee chochote maana itakucost!!! Kushinda Yooote Sisi ni wanaadamu tusidanganyike na Pumzi Inaweza katika wakati wowote ule!! Soooooo be careful!!! GOOD MORNING!!!

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo July 21
8

Jamani Tuelewaneeee!!! Ninaposimama na kuzungumzia Dini yangu na taratibu zake Kama huna ufahamu na jambo hilo Tafadhali kaa pembeni tusije tukaudhiana Linapokuja swala la Dini yangu naomba Heshima itawale!! Tusitake kuchefuanaaaa kabisaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo July 21
50

Naomba ieleweke!! Sitaki Mtu alie noooooooo Dini yangu inasema hivi kulia saaaanani kukufuru!! Tumia muda huh kuomba Dua ndio chakula pekee kilichobaki kwa Marehemu!!! Mapenzi Yapoooo Social Media Zipo Show Off zipooooo Lakini mzazi hayupo na hatokuwepooooo daima Ishatoka iyooooooo!!! Na msipendege kutetea hata palipo na majonzi Fikiri wewe unayetetea Jeee angekuwa mzazi wako wewe ungekaa humu am

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo July 21
82

Pepo zetu ziko chini ya nyayo za mama zetuu!! Tumuombe Sana Allah sw atujaalie wototo wema Wa kutulilia Na kutuombea Dua njema baada ya kufa kwetuuu! @zarithebosslady samahani kwa kukutag mama na najua wakosa hekima na busara wanaweza kunitukana ila nakuomba mama yangu wakati huh ndio wakati ambao Dua yako njema Mama yako anaihitaji katika hali nzito aliyokuwa nayo hivi sasa!! Tunaambiwa hiviii V

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo July 21
0

@Regrann from @choicefm_tz - It's another day tunakutana tena kwenye #MjiWaBurudani tukipeana mastori ya town na @thisistei @fezakessy huku burudani ya ngoma kali itashushwa na @djferuuh wastue washkaji twende pamoja hadi mishale ya saa 7:00 mchana. #MWB #Freedom - #regrann

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo July 21
0

@Regrann from @choicefm_tz - Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu tangu alivyotoa ngoma yake #KaaLaRoho @Mabeste_Tanzania ,leo utamsikia akitusanua vitu gani vilipelekea kupiga kimya na mengine mengi kuhusu maisha yake......chakufanya tune 102.5 #ChoiceFm tutakusanua kwa mastori mobu. Cc. @moj360 @john_Jackson_Tz @kotinyotz #Freedom - #regrann

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo July 21
2

#Repost @ladivamillen (@get_repost) ・・・ May you bring Hope ,faith and Miracles to millions women out there who wishes to hold their children just the way I wished to hold you. May you grow to change the world and be there for others . May you believe in God and own his miracles . As much as life can be tough ,may you learn to be patient, work hard and knowing that ,everything always happens for

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo July 21
3

#Repost @ladivamillen (@get_repost) ・・・ It's a week since I first hold you in my arms. I'm still trying to absorb the whole thing. This will probably be the longest caption I ever written but please bare with me 😊. Through my scars you brought me a Star ⭐️ Jehova you lifted me higher today . Father Lord , I'm acknowledging you for who you're and for what you've done in my life . You Must want to

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo July 20
0

@Regrann from @idrissultan - Kwa siku moja, lisaa limoja na nusu, dakika 90, sekunde 5,400, milli second 324,000... Kadunia kali tune in kucheki live from tz na kuna wadada wakasema tumelala nchi moja na Rooney, kuna msela akasema kumkimbilia mpaka kumkumbatia alifanya zoezi siku tatu 😂👏🏽... shoutout to @tzsportpesa #EvertonInTz - #regrann

 @basmalatimhando_tangaline on Instagram photo July 20
9

Sina jinsi nimeamua kujikumbusha tuuuuuu!!!! 😭😭😭😭😭 I ll never forget!!! In shaa allah IPO siku moja tuuu!! ALLAH SW atabariki!!! Muwe na mchana mwema!!

Popular Now

فانبال ایران | Funball Iran @funballiran on Instagram photo August 20
+ Board

. 🔹ويديو | هايلايت (#فانبال_میکس ) . هفته اول #لاليگا . اتلتيكو مادريد ٢-٢ خرنا . گلزنان خرنا: اشتوانى (٢ گل) . گلزنان اتلتيكو: كوررا خيمنز . اتفاق مهم: گريزمان(كارت قرمز) . كام بك ١٠ نفره اتلتيكو زمانى كه ٢ گل خورده بود! . واقعا هر تيم ديگه اى بود جا ميزد! . لذت ببريد👌 . . . #پشمدوست

Maly Phommaly @maly.phommaly on Instagram photo August 20
+ Board

@fashion_and_glamour_photo • • • • • • • #MalyPhommaly#sydney#asianmodel#import#babe#instadaily#instalike#picoftheday#fabulous#asiangirl#photoshoot#makeup#instahair#like#bae#fashion#model#fashion#asia#follow#instababe#red#lingerie#instragramer#shout#picture#swag • • • • • For bookings contact: Phommaly.maly@gmail.com

Эль Стиль ™ Обучение Москва @elstile.models on Instagram photo August 20
+ Board

Занятия у девочек на базовом курсе с нуля "Свадебный стилист" @elstile ❤️️ • Цена: от 35.000 до 38.000 ₽, 14 занятий по причёскам и макияжу! • ✅Все материалы, косметика включены, кроме кистей для макияжа (можно приобрести в студии) 👑 сертификат Эль Стиль • Запись: 📞 +7 926 910.6195 (звонки, what’s app, viber) • ОНЛАЙН УРОКИ |online classes 💻 elstileshop.com • For booking course in 🌴 California: 📞

الشايب😎 @10k20 on Instagram photo August 20
+ Board

💔 ⠀⠀⠀ ㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤ ⠀ ㅤㅤㅤ⠀ ⠀ ⠀ ⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀جاي من الاكسبلور طق فولو . #رايكم_يهمني_ولايگ_يسعدني___والتعليق__يطربني ㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤ ⠀⠀ ⠀⠀‏* ⠀ #ضحك#فله#ستهبال#مقاطع_وصور_مضحكة #مقاطع_منوعه ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ㅤ⠀ ⠀ ⠀#علقو_منشنو_اثبتو_وجودكم_يالمبدعين💜😜🎈✒👇 ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀‏* ﴿#الشايب ﴾😻

Piyarat kaljareuk @tae_kantana on Instagram photo August 20
+ Board

See you tonight at 8:30pm on @artemiselite only on @linetvth !! 🤘... พบกับความลับและความรักของหนุ่มหล่อทั้ง 22 คนและปาร์ตี้สุด Exclusive จาก หนึ่ง ETC ใน Aretemis Elite EP.8 วันอาทิตย์ที่ 20 สิงหาคม เวลา 20.30 น. ทาง Line TV ตัวอย่าง Artemis Elite EP.8 https://tv.line.me/v/1968303 #TheFaceMenThailand #ArtemisElite #LINETV #ETC #WorldDomination #SuperFandom #KLs

Mete ve Annesi 🌟 @imrengursoy on Instagram photo August 20
+ Board

Dün, seni gördüm rüyamda... Arnavut kaldırımlı taş sokakta ✨ ... Fotoğraflar @bekirsozakphotographr