Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 15
19

#SAWA🎶 ya @giftofficialtz ft @aslayisihaka link in bio Support good music

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 15
10

Watanzania walishazoea kuona milima mbalimbali kuanzia Kilimanjaro, mlima meru na mlima rungwe lakini BIKO, inakuonyesha kitita cha mlima wa hela kama ilivyomtokea Bwana Nassoro Salum mshindi pacha wa pili katika Mega Jackpot ya Jumadili, amejizolea milioni 50. jumatano hii milioni 60 inatoka na siku zimebaki 2 pekee kucheki bahati yako na BIKO ndio kipimo halisi cha bahati.Fuatisha hatua hizi uj

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 12
12

Kuwa milionea siku hizi kama kuoa ndoa ya mkeka kwa maana haina haja ya kupanga tarehe BIKO inakupa utajiri muda wowote ipe matumizi sahihi BUKU yako tar 14/01/2018 MEGA JACKPOT ya MILIONI 100 kwa watu wawili inakuhusu zimebaki siku mbili tu mapacha wawili wazaliwe. Cheza sasa ujiwekee nafasi ya kubadilisha maisha yako sasa kwa buku tu. Fuatisha hatua hizi ujiunge na mchezo huu rahisi na wenye na

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 11
29

Thank sana sana my fans Kwa suport kubwa🙏🙏🙏 #runtown imefikisha 1,000,652VIEWS #runtown link in bio👆 Cc @mkubwafellatmk

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 11
10

Thanks sana sana mashabiki mnaoendelea kunisuport🙏🙏🙏 #kelele_za_chura ft @officialnandy imefikisha 1,806,602VIEWS #kelele_za_chura link in bio👆 Cc @mkubwafellatmk

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 11
16

Thank sana sana mashabiki wa chege&temba Kwa suport🙏🙏🙏 #go_down imefikisha 1,785,226VIEWS #go_down link in bio👆 Cc @mkubwafellatmk

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 11
21

N G O M A ya @barnabaclassic X @aslayisihaka Imetoka tayari nenda Kwa bio ya @barnabaclassic kutazama full video

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 11
27

New Song by @osama_tmk & @podo_chaudele #kigodo tunaomba saport yenu @chambusso @aslayisihaka

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 10
59

Wazee wa kuwanuwia mpoooooo?😂😂😂😂 mara unapigwa desh...... Cc @officiallinah 😂 @rachelkizunguzungu #runtown link in bio👆nenda kaenjoy nice video

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 10
29

SUBSCRIBE my YOUTUBE Chanel kutazama videos mfululu .....hivi Muda wa kuanza mashuti tyr Au bado bado kidogo? Tazama full video link ipo kwenye bio yangu!

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 5
13

Dua la kuku halipati mwewe lakini dau la BIKO ni furaha ya watanzania. Washindi wa droo ya 70 JUMATAMU EXTRA wote wamekabidhiwa zawadi zao zilizowafanya kuwa mamilionea wa kwanza katika mwaka huu wa 2018. BIKO bahati nasibu ya watanzania inakupa kila sababu ya kutabasamu kwa buku tu. Usikubali kupitwa wiki hii JUMADILI EXTRA MILIONI 60 kama kawaida kwa mapacha watatu na kubwa ni ile MILIONI 100 ya

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 2
13

Anza mwaka kibabe kwa kujishindia Mamilioni JUMATANO hii Jumla ya Tsh MILIONI 60 itatoka na kwenda kwa washindi watatu ambapo kila mmoja atalamba MILIONI 20.Unawaza nini? Fuatisha hatua hizi chache ujiunge na mchezo huu rahisi na wenye nafasi nyingi za kushinda 1. Ingia kwenye TIGO PESA, M-PESA au AIRTEL MONEY 2. Chagua Lipia bili 3.Weka namba ya Kampuni ambayo ni 505050. 4.Kisha weka namba ya ku

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo January 1
10

Happy birthday kiongozi @chambusso Mungu akupe maisha marefu ✌️

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 31
24

Ahsante KUBWA sana sana Kwa wote ambao Baba Mungu bado anawaelekeza kwangu na kupokea kile ninacho fanya🙏,tumeanzia mbali sana lkn mpk sasa 2017 bado mnaifanya nyota yangu kutopata kiza na kuendelea Kua na mwanga unaonitosha kutazama kwenye kichaka chenye kiza na kuona ninako kwenda!🙏 Ahsante Mungu Kwa hapa nilipo,malipo yangu kwenu ni Mungu tu....tumuombe sana Mungu atusimamie vema mwaka Huu mpya

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 31
19

Heri ya kuzaliwa kiongozi @babutale allah Skupe maisha marefu inshallah

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 30
21

Heri ya kuzaliwa kiongozi @kenedytheremedy Maisha Yawe marefu inshallah

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 30
7

Majogoo wa jiji Liverpool FC atawakaribisha Leicester City ndani ya Anfield damu zitachuruzika, Liverpool itapambana huku ikimkosa captain wake Jordan Henderson baada ya kupata majeraha mwanzoni mwa mchezo uliopita leo kuna Option nyingi kwa odds bomba tembelea tovuti yetu www.bikosports.co.tz na chagua Sehemu ya kubashiri michezo kisha chagua mechi upendazo na njia ya malipo Tigopesa, Airtel, au

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 29
37

K U Z A L I W A KWA R A P A!!! Happy birthday mkulungwa mwenye heshima zake @professorjaytz Baba Mungu akupe maisha marefu inshallah!

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 29
12

[12/28, 21:36] sirtino2014: https://youtu.be/P-HjRIUVODs [12/28, 21:42] Kilonzo: https://youtu.be/P-HjRIUVODs #ChuDobletouchEnt. Under @Chukichunathegreatest Presenter @Sirtino1 New Video Alert Song #SinaNeno Produced By @mrttouchez Directed By @director_kilonzo

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 29
57

Happy birthday #kikono_master #minyapio_master #nyatunyatu #darubini_master nakutakia maisha marefu mwanangu yenye afya tele niweze pata haki yangu kule basata Kwa kupora idea yangu nakujifanya unaipromooooooooooot😂 @soudybrown 🎂🎂🎂enjoy your day bro✌️

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 28
26

SINGIDA 31/12/2017 funga mwaka nitakua hapo @skyway_club na @djsinyorita & @beka1flavour U S K O S E 🔥🔥🔥 #runtown #wafoo link in bio

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 28
21

S I N G I D A A A @djsinyorita KUTOKA @cloudsfmtz @beka1flavour $I tunakuja @skyway_club usiku wa funga mwaka itakua 31/12/2017 si ya kukosa mazeeeee Gusa link kwenye bio yangu kutazama videos #runtown #wafoo 👆

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 27
8

Tunakuja kufunga mwaka SINGIDA TR31/12/2017 Sasa kutoka yamoto band atakuwepo @beka1flavour kutoka clouds fm atakuwepo dj wako @djsinyorita na kutoka kiumeni nitakuwepo mwenyewe MOTO WA PUMBA.....tukutane @skyway_club #runtown #wafoo link in bio👆

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 27
67

MOMBASA 👋see u next time Tukutane S I N G I D A usiku wa funga mwaka 31/12/2017...atakuwepo @djsinyorita @beka1flavour @bekaflavour &I Sio ya kukosa aisee #Runtown #wafoo link in my bio

Chege Chigunda @chegechigunda on Instagram photo December 26
29

S I N G I D A A A A tukutane SKY WAY tr 31/12/2017 tufunge mwaka na magoma ya Chege ....................Boxing Day ✌️to you all #runtown #wafoo link in bio

Popular Now

#butik #giyim #bayan #moda @jetzmoda on Instagram photo January 16
+ Board

¦4 Al 3 Öde ¦Whatsapp Sipariş Hattı:0506 156 43 33 ¦ Ücretsiz Kargo ¦ Kapıda Ödeme www,modaspirit.com ¦Şeffaf Kargo İle Teslimat ¦Değişim ve İade İmkanı

اخبار سينماى ايران و جهان @cinemanews on Instagram photo January 16
+ Board

#🎥 رقابت «رگ خواب» با ۵ فیلم در لبنان . فیلم «رگ خواب» به کارگردانی حمید نعمت‌الله به بخش رقابتی جشنواره فیلم «جونیه» در کشور لبنان راه یافت . فیلم سینمایی «رگ خواب» با صدای همایون شجریان در نمایش خانگی توزیع شده است . خلاصه داستان: مینا بعد از جدایی از همسرش به دنبال شغل و محل اسکانی می‌گردد. در این مسیر با کامران مدیر رستورانی که در آن کار می‌کند آشنا می‌شود. کامران سرپناهی به او می‌دهد. مینا تح

เสื้อผ้าแฟชั่นเกรดพรีเมี่ยม @wow_chic on Instagram photo January 16
+ Board

16291@viva เดรสคอเต๋า แขนยาว ผ้ายืดค้อตตอลร่องผ้าไม่หนามาก ใส่สบายเข้ารูปยืดหยุ่นได้เยอะ Color : ดำ/สีไวน์แดง Size : รอบอก (bust) 34-42" เอว (waist) 24-39" สะโพก (hip) 30-42" ยาว (length) 39 " ราคา 490

🔹MAJID GHOFLI🔹 @m.g.gallery on Instagram photo January 16
+ Board

سرويس جواهر مژگان قيمت روز طلا:١٤٠،٠٠٠ تومان وزن طلا:٥٢ گرم وزن جواهر:١٨/٦٧ قيراط قيمت كل:٤٧،٤٧٠،٠٠٠ تومان بدون درصد و ماليات #Servis#Gold#Jewelry#Diamond#Brilliant#Unique#My#Design#Majid#Ghofli#Amazing#Lovely#Perfect#Wonderful# #سرويس#طلا#جواهر#الماس#برليان#تك#خاص#طراحي#خودم#مجيد#قفلي#عالي#دوست_داشتنی# . Code M.G 016

Sindy 👁‍🗨 @sindyoff on Instagram photo January 16
+ Board

✨ CONCOURS ✨ Vous m’avez rendue si fière et heureuse en dépassant la barre des 200K que pour vous remercier, j’ai choisi d’emmener 2 personnes avec moi à Disneyland Paris 😍 Pour participer c’est très simple ;) Il faut : 👑 être abonné à mon Instagram (sinon c’est pas drôle) 👑 taguer 3 personnes sous ce post 👑 m’expliquer pourquoi je devrais vous sélectionner 😘 Je tirerais au sors les gagnant(e)s

เสื้อ คนอ้วน ไซส์ใหญ่ บิ้กไซส์ @bigsizeonsale on Instagram photo January 16
+ Board

490฿ ส่งฟรีลงทะเบียน 📍รหัส 1222📍 คาดิแกนASOSทอ2ชั้น รุ่นนี้ผ้าดีมากค่ะ ทรงแขนบอลลูนน่ารัก ตัวยาวคลุมสะโพกนะคะ รอบอก/SIZE -freesize-50” ความยาว- 28” สี- สีเดียว สมัครสมาชิก💜vip ลดทันที50฿ ทุกชิ้นตลอดชีพ ===================================Order / สั่งซื้อสินค้า และสอบถาม ได้ที่นี่จ้า ❤🅻🅸🅽🅴 ID : @Yoh4079e (อย่าลืมใส่ @ นะค๊า) หรือ คลิก Link นี้ได้เลยค่ะ http://bit.ly/1spBn2m ======================

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo January 16
+ Board

Baada ya Urmi kuamua atabadilisha maisha yake, ni nini kilichofuata? Samrat alipokea ujumbe wa kumfaa? USIKOSE #DOLITZ Jumatano na Alhamisi, saa 12 jioni kupitia #MMBongo! Ni Yetu!