Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 21
0

#HABARI Jengo la Kampuni ya Clouds Media limenusurika kuteketea baada ya moto kuzuka

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 21
0

#HABARI Jengo la Kampuni ya Clouds Media limenusurika kuteketea baada ya moto kuzuka

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 21
0

#HABARI Kikao cha NEC CCM, Kimepokea wanachama sita wapya, na Sophia Simba arejeshewa uanachama wake

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 21
0

#HABARI #UPDATES Spika wa Bunge Zimbabwe Jacob Mudenda amesema Rais Robert Mugabe amejiuzulu kabla ya bunge kumpigia kura ya kutokua na imani nae. Bunge lalipuka kwa furaha.

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 20
0

#HABARI Vigogo wa kampuni ya mawasiliano ya Six Telecoms Ltd wamepandishwa kizimbani kwa makosa ya uhujumu uchumi

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 19
1

#HABARI Kufuatia kujiuzuru kwa Waziri Mkuu wa Lebanon, Asema atarejea nchini mwake kutoa hatma ya nafasi yake kisiasa

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 18
0

#KilichoBoraKabisa Timu ya Channel ten inapambana na timu ya Azikiwe Fc katika viwanja vya Gymkhana club. Mpira umekwisha, channel ten inetoka kifua mbele kwa bao 4-2

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 18
0

#KilichoBoraKabisa Timu ya Channel ten inapambana na timu ya Azikiwe Fc katika viwanja vya Gymkhana club. Ni katika mchezo wa kirafiki na Mpaka sasa Channel ten inaongoza kwa 3-2

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 5
0

#HABARI Mwanamke raia wa Marekani amefikishwa mahakamani baada ya kudaiwa kumtukana rais Mugabe Twitter

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 5
0

#HABARI Walimu Kutolipwa Mishahara, ni aada ya kushindwa kuwasili vituo vya kazi walipo hamishiwa

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 5
0

#HABARI Miaka miwili ya Serikali ya JPM, Yaelezea kuridhishwa na nidhamu na uwajibikaji

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 5
0

#HABARI Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato, Waziri Makame Mbarawa aweka jiwe la msingi

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 5
2

#KilichoBoraKabisa Rais Magufuli akiwa anasikiliza wimbo wa kabila la Wasukuma pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli (kushoto) na Dada yake Mkubwa Monica Joseph Magufuli (kulia). Chato Geita. *anasikiliza ngoma ya Ng'wana ishudu*Ukipenda SHARE C&P

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 4
4

#ChannelTenOnline Nini maoni yako kuhusu baadhi ya wauguzi wanaokiuka maadili ya taaluma yao unadhani wakati umefika wabadili mwenendo huo?

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 4
2

#HABARI Kampeni ya ujenzi wa ofisi za walimu DSM , Kampuni ya A.M Steel Group imetoa msaada wa Nondo tani 405

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 4
0

#HABARI Vifo vitokanavyo na Uzazi Tanzania, Makamu wa Rais aagiza hospitali zifanye uchunguzi

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 3
1

#HABARI Baada ya Mgomo wa Muda mrefu Kenya, Sasa wauguzi kuanza kurejea makazini baada ya makubaliano

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 3
0

#HABARI Wakazi wa Misungwi walilia kujengewa daraja linalounganisha Wilaya ya Nyamagana na Misungwi

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 3
1

#HABARI Uvamizi wa Maeneo ya Hifadhi, Usitishaji operesheni yarejesha mifugo kwa wingi

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 1
1

#HABARI Wachina Wanne Mbaroni na Makinikia, Ni wawekezaji wa mgodi ya Zem Tanzania Ltd, Butiama

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo November 1
1

#HABARI Ujenzi ofisi za walimu wazinduliwa, Mkuu wa Mkoa Paul Makonda awashukuru waliochangia >>link kwa Bio yetu

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo October 31
1

#KilichoBoraKabisa Mtangazaji wa AMGL Ezekiel Mwambopo aanza kazi rasmi CRI Kiswahili CHINA. Ikiwa ni mkataba wa Kikazi wa Kituo hicho na Kampuni ya AMGL. Ahsante kwa Kutuwakilisha Vyema.

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo October 31
4

#HABARI Wadau wameendelea kujitokeza Kumuunga Mkono RC Makonda ambapo Dar Coach Ltd imejitolea kutengeneza mabasi kumi Chakavu ya Jeshi la Polisi

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo October 31
1

#HABARI Tahadhari ya Mvua Kubwa, Kwenye mikoa ya DSM, Tanga, Pwani, Unguja na Pemba >>link kwa Bio yetu

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo October 31
2

#HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM limekiri Kumkamata na kumshikilia Mbunge Zitto Kabwe

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo October 29
1

#HABARI Barabara TABATA - MWANANCHI yaharibika, Wananchi waomba mamlaka kuitengeneza

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo October 29
0

#HABARI Madhara ya Mvua DSM, Kamati ya Maafa yafanya ziara, yabaini uharibifu mkubwa wa miundombinu

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo October 29
1

#HABARI Uharibifu wa Miundombinu UDART, Mabasi 29 yaendayo haraka yashindwa kuendelea na kazi

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo October 29
2

#HABARI Athari za Mafuriko Dar, Wananchi Kata ya Mchikichini wapatiwa msaada wa fedha

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo October 29
1

#HABARI Ghasia Baada ya Uchaguzi Mkuu Kenya, Idadi ya vifo yaongezeka yafikia wanane

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo October 10
0

#HABARI Makusanyo ya Mapato Robo ya Kwanza, TRA yadai Mapato yaongezeka kwa asilimia 1.2

Channel Ten @channeltentz on Instagram photo October 10
1

#HABARI Udukuzi uliofanywa na Korea Kaskazini, Waleta taharuki kwa Marekani na Korea kusini

Popular Now

TESETTÜR FERACE TUNİK ABİYE @ferace.tesettur on Instagram photo November 21
+ Board

💐Yeni sezon 7260 paraşüt içi miflonlu kaban 💐 📣Yeni fiyatı 169 tl Almayan kalmasın sınırlı stok 📦ücretsiz kargo Eski fiyatımız 📣 199 tl 👉🏻beden arkalığı 36/38/40/42 36 beden ölçüleri 👇🏻 💐en:46 cm 💐kol boy:61 cm 💐pazu:15 cm 💐boy:115 cm 👉🏻ürün paraşüt kumaştir 👉🏻içi miflonludur

Farm Life @pocket_farms on Instagram photo November 21
+ Board

Photo credit @__867_5309__ •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• @pocket_family Presents •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• From @pocket_farms #pocket_farms. Thank you Jenny for sharing your photo and tagging our @pocket_pride . •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Chosen by @ddalkie . We're your family in your pocket :) . Cc: Pocket_Family_Owners . @chefjane • @kr

I S A B E L E T E M O T E O @isabeletemoteo on Instagram photo November 21
+ Board

Amanhã é dia de lançamento na @misslollaoficial e eu já tô como?! Apaixonada 🙀 O vestido mais lindo para a época mais especial do ano! Muito ❤️ #lookdaisa @misslollaoficial

เสื้อผ้าแฟชั่นอันดับหนึ่ง @style_korea_shop on Instagram photo November 21
+ Board

อยากเป็นแม่ค้าออนไลน์🌎 รายได้หลักแสนไหม⁉️ 🔥คุณพร้อมไหม ที่จะรวยไปด้วยกัน 💰 🔥ลงทุนหลักร้อย ต่อยอดได้เป็นล้าน 💰 _____________________________ 📌#เปิดรับตัวแทนจำหน่าย 💥เพียงสมัครตัวแทน VIP 199 บาท/เดือน ต่อยอดได้ถึงหลักแสน 💥หรือใครสนใจจะรับสินค้าไปขายต่อ สต๊อคคราวล่ะจำนวนมากๆ ทางร้านก็มีเรทราคาส่งให้ค่ะ 💦ใครรอเป็นตัวแทนรีบเลยนะค้า #รับจำนวนจำกัด • มีระบบสั่งซื้อทางหน้าเว็บสำหรับตัวแทน • หักส่วนลดให้อ

Diario NotiFalcón @notifalcon on Instagram photo November 21
+ Board

La masiva llegada de venezolanos que huyen de la crisis económica y política “complica” a Colombia, que busca superar un conflicto armado de medio siglo, dijo este lunes en Washington la canciller colombiana, María Ángela Holguín. El éxodo de venezolanos hacia el vecino país, registrado por el agravamiento de la escasez de alimentos y medicamentos bajo el gobierno de Nicolás Maduro, supone un “co

Fanaticos del Cine @fanaticosdelcine on Instagram photo November 21
+ Board

Repost de @erickosores ・・・ ¡Llegaron las nuevas donuts navideñas de @dunkindonutsperu y qué mejor que acompañarlas con Guerra de Papás 2 que se estrena este 7 de Diciembre! Porque #pelidonuts es la mejor combinación! Los dejo con el tráiler:https://youtu.be/DNeUx9CSqyk #ddulcesmomentos#GuerradePapás2

shop on sale 👗👙 @pongpangshopping on Instagram photo November 21
+ Board

ชุดเดรสผ้าชีฟอง แบบน่ารัก ผ้าสวย ใส่สบาย มีซับใน อกถึง 36. 💗250฿ ส่งฟรี มือ 1

ชุดทำงาน ชุดออกงาน งานcopbrand @ant_ladyfashion on Instagram photo November 21
+ Board

ราคา 690฿- - LA LA BELLE - งานเหมือน งานปัง งานเริ่ด !!! New!!! พร้อมส่ง/Available now Brand : Style Korea By : LA LA BELLE Teg : 9flyday Detail : มินิเดรสผ้ายืดแขนยาวเข้ารูป เพิ่มดีเทลเว้าแขนเหมือนใส่2ชิ้น งานคุณภาพเกรดพรีเมี่ยม1:1 คัทติ้ง และ แพทเทริน์เป๊ะ ค่ะ น่ารักฝุดๆไปเลยค้ารุ่นนี้มิกซ์กับรองเท้าส้นสูงเครื่องประดับเก๋ๆก็ดูน่ารักแล้วค่ะ Colur : ดำ,เทา Size : S,M (โดยประมาณ) S อก32" เอว26

الآن ايكيا @nowikea on Instagram photo November 21
+ Board

#ايكيا مصباح أبيض , شكل بسيط ومريح للعين مناسب بشدة للمبات الملونة مصباح طاولة - الحجم 30 سم بقيمة 45 ريال مصباح أرضي - الحجم 55 سم بقيمة 65 ريال لتوفير جميع طلباتكم من ايكيا⠀ بـ عمولة ثابتة 25% من قيمة الفاتورة⠀ توصيل داخل الرياض خلال يوم واحد⠀ شحن الى جميع مناطق المملكة خلال ثلاث ايام .. لطلباتكم عبر الواتساب⠀ 0556742552⠀ #ikea⠀ #ايكيا_توصيل #ايكيا_توصيل_جميع_المناطق