Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 19
2

Nimwendo wa bandika bandua ndani ya #DStv160,tunaendela kuwaletea Filamu zetu mpya kabisa na wiki hii tunanza na hizii save that date usikose kila siku saa2 Usiku. #NIYETU!!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 17
3

WIKI IJAYO ndani ya #MMBKapuni je ni nani atakaye nusurika na wingu hili lenye kila aina ya changamoto? ni kila Jumatatu na Jumanne saa 1:30 Usiku #DStv160 pekee!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 15
0

Badamu bwatamwagika leo! hicho kibao alichopigwa Jamila tukamuokote wapi? Usikose #MMBSarafu kila Jumatano na Alhamis saa 1:30 Usiku ni kupitia Dstv160 pekeee!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 14
4

#Repost @raqey_allaraqya with @get_repost ・・・ Washindi wa shindano la Harusi ya Ndoto Yako ndio hawa. Solomon na Magreth. Kukumbusha tuu shindano hili limewashirikisha watu wote ambao wanataka kufunga ndoa na pia wenye hadithi ya kusisimua katika safari ya mapenzi yao. Kipindi cha Harusi Yetu kitadhamini mchakato wote wa harusi ya Solomon na Magreth kuanzia Mavazi, Ukumbi, Chakula, Vinjwaji, Cake,

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 14
2

Penzi la baba kwa mabinti zake leo ndio yatadhihirika wazi! Je ungekua Eng Sanga ungefanya nini? Usikose #MMBSarafu leo saa 1:30 Usiku kupitia Dstv 160 pekee!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 14
0

Sherehekea upendo wa kweli nasi siku hii ya wapendanao... Happy Valentines kutoka kwetu kuja kwenu watazamaji wetu. Je unashrehekea na nani leo? #Niyetu!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 13
0

Baada ya Eng. Sanga kugundua yalijiri na binti zake je atachukua maamuzi gani? Usikose mwendelezo wa uhonndo huu katika #MMBSarafu #DStv160, kila Jumatano na Alhamisi saa 1.30 usiku! #NiYetu!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 12
6

Je ni nani atatoka salama wiki hii? Huku mama anarudishwa kijijini, mwingine anataka ndoa! na wengine ndio kabisaa wamaeamua kusaidiana kuporomosha ndoa za watu yote haya ni ndani ya #MMBKapuni kila Jumatatu na Jumanne saa 1:30 Usiku #DStv160!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 12
0

Na hivi ndivyo wiki hii itakavyokua usikose kuangalia Filamu zetu mpya kabisa Kila siku saa 2 Usiku kupitia #DStv160!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 9
126

Karibuni mashabik wapendwa hapa #MMBongo! Mwezi huu wa mapenzi, tungependa kujua hisia zenu za siri yaani, 'MMBongo woman crush'! Chagua mwana dada ambaye ungependa kushirikaina naye siku ya #ValentinesDay! Bonyeza linki: 👉http://bit.ly/2sikJqp

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 8
0

Mambo nii hiviii!!! Wajanja wa mjini washaikubalii... haujachelewa ndioo kwanza tunaanza ni kila jumatano na Alhamis saa 1:30 Usiku ndani ya DStv160 pekeee!!!#Niyetu!!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 8
0

#MMBKapuni highlights zimewaka moto! Mambo ni matata kabisa, wacha tumtoe nyoka pangoni! Tembelea tovuti yetu hapa: 👉http://bit.ly/2E9inQ6 kupata uhondo zaidi! #MMBongo DStv chaneli 160!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 7
1

Uchungu wa mwana, aujuaye mzazi! Ni nani aliyejaribu kumloga binti ya Sanga! Tazama yafuatayo katika #MMBSarafu LEO, Jumatano, saa 1.30 usiku hapa #MMBongo! http://bit.ly/2DLGxz1

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 6
7

Kichapo cha mbwa na wazazi kugundua yalioyotendeka! Janeth atanusurika kweli? Jumatano na Alhmaisi, Uhondo ni #MMBSarafu saa 1.30 usiku hapa #MMBongo! Ni Yetu!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 5
8

Wanawake wa Mr Brown wameamua kuja kuliamsha kwenye shughuli yake! je mrs Brown atafanya nini? na je Lisa itakuaje? Jordan na koku je? haya usikose kila Jumatatu na Jumanne saa 1:30 Usiku kupitia DStv160 #MMBKapuni #Niyetu! http://bit.ly/2BjLHgq

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 2
0

#Repost @dstvtanzania with @get_repost ・・・ #MZOOKA Kipindi kitakacho kuleta karibu na Mastaa wako wa mziki ya ni bandika bandua Nyimbo kali zitakazo kupa burudani! Burudika na kipindi hiki kila Jumatatu -Ijumaa saa 10 jioni kupitia Maisha Magic Bongo 160

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo February 1
27

Je Mikufu itarejeshwa? na je hasira za Samrat zitamfikisha wapi? mambo yanendela leo saa12 jioni kupitia Dstv160 #DOLIARMANONKI ni 🔥🔥

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo January 31
2

#Repost @dstvtanzania with @get_repost ・・・ Tamthilia ya #MMBSarafu imewaka moto! simulizi kuhusu Matajiri wawili wenye ushindani!Je ni kichwa au mkia? Ungana nasi Jumatano na Alhamisi saa 1.30 usiku kupitia Maisha Magic Bongo DStv 160 #MMBongo!

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo January 31
0

Katika shughuli ya kumualika Mbosso katika familia ya WCB, mgeni mwalikwa mmoja alileta maswali mengi! Tazama video ya Diamond na Wema , BONYEZA LINK: http://bit.ly/2GxgB8J

Maisha Magic Bongo @maishamagicbongo on Instagram photo January 29
3

Tamthilia ya #MMBSarafu imewaka moto! Pata KIPINDI CHA KWANZA (Ep.1) na simulizi kuhusu yaliyotendeka hadi wakati huu hapa! Usisahau kuungana nasi Jumatano na Alhamisi saa 1.30 usiku kupitia DStv chaneli 160 #MMBongo! BONYEZA LINK: 👉http://bit.ly/2DOInA7

Popular Now

Extreme Intimo @extremeintimo on Instagram photo February 21
+ Board

Ne, nije ogledalo! U pitanju su neodoljivi blizanci u novoj Extreme Intimo Dumbo kolekciji za sve mališane. No, it's not the mirror! They are irresistible twins in the new Extreme Intimo Dumbo collection for all kids. 💕🛍🎀🎁🌹👶🏻 #extremeintimo #fashion #modern

Sakshi Malik @sakshix on Instagram photo February 21
+ Board

All I really want is for someone to fill my heart with adventure Pc - @advait_vaidya @toabhmanagement @toabhentertainment

Scha Alyahya™ @schaalyahya on Instagram photo February 21
+ Board

Add Hope Run Stop Hunger . Empowering Juniors, Inspiring Change . JOIN US in this Junior Run to Stop Hunger! Make your steps matter! ADD HOPE. . This run is for 18 years old and below. Venue: Putrajaya Date: 18 March 2018 Gathering Time : 4.00pm Flag-off time: 5.30pm . Categories: RM30 for 10KM / 8KM / 6KM / 3KM RM50 for 1KM (Fun Costume Run)  Best costume will receive winner's trophy . Register

Kartun Dakwah Muslimah @muslimahkartun on Instagram photo February 21
+ Board

Hati itu lembut, Karenanya dia sensitif dan mudah terluka.. Terkadang luka itu hanya tergores sekali. Tapi kita meratapi berkali-kali dan membuat setiap luka semakin parah dan memerah. . Bukan seperti itu.. Bukankah setiap luka memiliki hak untuk sembuh ? Sembuhkan.. tinggalkan kesakitan, Berhenti meratap. Tersenyumlah.. Biarkan setiap luka mengering, dan kau akan bahagia.. . . 📝 @fianidwicahyan

Al-Ghurobaa’ 03’ @unicorn.haha on Instagram photo February 21
+ Board

Tanya dongg pertanyaan asik gtt di comment, gue jawab insyaAllah satu satu wkwkw. Bosennihhh

💯🐕 سگ آگهی خرید فروش سگ sag
🐕💯 @dog_shoping on Instagram photo February 21
+ Board

پیکنوا ماده یک سال و نیمه قیمت ۸۰۰ مقطوع 09301614032تلفن

Sara Gurpal @saragurpals on Instagram photo February 21
+ Board

Who’s is she ??? Yes !! Yes !! Whoever is reading this 😀🌹 Sending love to all 🙂

РЕЦЕПТЫ И ТЕХНИКА ДЛЯ ЗДОРОВЬЯ @green.kuhnya on Instagram photo February 21
+ Board

СЫРОЕДНЫЕ КОТЛЕТЫ ИЗ ПОЛБЫ ДЛЯ СИЛЬНЫХ МУЖЧИН 🍖 #green_техника_сыроедческий_рецепт 🌟 Дорогие наши подписчики ! В преддверии праздника - Дня защитника Отечества предлагаем порадовать ваших мужчин вкусными кулинарными творениями! Например, эти сытные котлетки! Лук и зелень дают пряность, а лен дополнит ореховым вкусом 🌱🥗 Подавать можно с любым соусом и салатной зеленью! Ингредиенты: Полба – 300 гр

Diplom-Dream @bumbarah on Instagram photo February 21
+ Board

Как правда порою бывает несладкой! Стоишь — возмущён, потрясён, потерян. Ах, лучше б не знать, что

THANKSINSOMNIA CATALOG @thxnsmncatalog on Instagram photo February 21
+ Board

TEES | CASEY | WHITE | UNISEX | SIZE S M L | IDR 130K Regular fit short sleeve t-shirt Material : Cotton Size chart: S : Height 69cm x Width 50cm M : Height 71cm x Width 52cm L : Height 73cm x Width 54cm

Baku Holiday Travel 🇦🇿 @baku.holiday.travel on Instagram photo February 21
+ Board

Türkiyənin Antalya və Bodrum kurrort zonaları ilə yanaşı Fəthiyə, Marmaris, Çeşmə və digər istirahət bölgələrinə səyahətlərinizi bizdən endirimli qiymətlərlə əldə edə bilərsiniz. Siz bu turlarlarla yanaşı dünyanın hər yerinə səyahətlərinizi ilkin 30% olmaqla hissə hissə ödəməklə əldə edə bilərsiniz. -------------------- TARİX: 29.06.18- 06.07.18 -------------------- OTELLƏR VƏ QİYMƏTLƏR: Marmari

studio CLIP @studioclip on Instagram photo February 21
+ Board

ボーダー×デニム×キャスケットの、王道のフレンチマリンスタイルは、ちょっとそこまでのお出かけスタイルにぴったり。マルシェバッグと風合いのある素材感が魅力のバレエシューズで、今年らしくアップデート。 . トップス(品番:779972)¥2,400+税 3月入荷予定 デニム(品番:775749)¥5,990+税 帽子(品番:782993)¥2,990+税 バッグ(品番:784242)¥3,990+税 3月入荷予定 シューズ(品番:783001)¥3,500+税 2月下旬入荷予定 . #studioclip#dailycoordinate#ootd#style#fashion#dotstlook#スタディオクリップ#クリップコーデ#花梨#クリップパンツ#クリップ帽子#クリップシューズ#クリップカゴ#ボーダー#プルオーバー#デニム#ワイドパンツ#キャスケット#バスケット#かごバッグ#バレエシュ

ชุดนอนเซ็กซี่  ชุดนอนซีทรู @sexsyzthrough on Instagram photo February 21
+ Board

รหัสสินค้า SZ1011 ‼️ราคา 299 บาท‼️ ชุดนอนสายเดี่ยวผ้าซาตินสีน้ำเงิน  ตัวชุดเป็นสายเดี่ยวผ้าลื่นคอวีตรงหน้าอกแต่งระบายลูกไม้ซีทรูสีดำที่ขอบหน้าอก ตัวชุดดูเรียบๆแต่แฝงไปด้วยความหรู สายเดี่ยวสีน้ำเงินเข้าชุด สายปรับระดับได้ เนื้อผ้า satin เนื้อผ้ามันลื่นสวมใส่สบาย (ผ้าไม่ยืด) ความยาวชุด 29 นิ้ว สินค้ามี 2 ไซด์ ไซด์ M รอบอก:30-38นิ้ว เอว:22-30นิ้ว สะโพก:31-36นิ้ว ไซด์ L รอบอก:30-38นิ้ว เอว:24-32นิ้ว

infotegal @infotegal on Instagram photo February 21
+ Board

Rincian Anggaran Pendapatan dan Belanja Daerah atau APBD Kabupaten Tegal 2018. Dari infografis tersebut, bisa kita lihat PAD tahun sebelumnya sekitar Rp. 399,9 M yang didapatkan dari banyak sektor, seperti pariwisata, retribusi, pajak, dll. Jadi masihkah kita akan terus menyebarkan hoax & kebencian dengan pemerintah dan membuat investor enggan berinvestasi di daerah yang tercinta kita ini. Infog

Wear It! @wear.it.bn on Instagram photo February 21
+ Board

Size Available : 0-3, 3-6 & 6-9 Months . Price : $15.00 . Drop by to our store at Unit C40, Ground Floor, Block C, Gadong Central Menglait Building, Kg Menglait. . Text us +673 7156142 and Follow @melonybaby.shop . BROWSE OUR WEBSITE: WWW.MELONYBABY.MYSHOPIFY.COM

CH7 Drama Society @ch7dramasociety on Instagram photo February 21
+ Board

📣📣ประกาศรายชื่อผู้โชคดีที่ร่วมกิจกรรม "ถ้าได้เป็นแม่สื่ออยากจับคู่ให้ใครในเรื่องมากที่สุด เพราะอะไร" ได้รับกระเป๋าผ้าจากละคร #แม่สื่อจอมป่วน 👼🏻💘 @lanlana.m @peedanaka @oilonlyu8 @abbas_saiting ผู้โชคดีกรุณาส่งชื่อที่อยู่ ใต้ภาพนี้หรือทาง Direct Meaasge ภายในวันศุกร์ที่ 23 ก.พ. 61 ไม่เช่นนั้นจะถือว่าสละสิทธิ์นะคะ แล้วเย็นนี้อย่าลืมมาติดตามกันว่าลูกพี่สามกับหมออรจะรอดชีวิตหรือไม่ เวลา 18.50 น. ทาง

Свадебные и вечерние платья @shininggirls_dress on Instagram photo February 21
+ Board

Прекрасная Анна в платье #Pronovias ❤️Спасибо, что выбрали «Cherry» 🍒🍒🍒 Приглашаем Вас в гости по адресу: Ул. Грушевского, 40 Тел. 096-38-788-38 есть Viber #shininggirlsdress #dress #eveningdress #weddingdress #live #love #mylovedress #myboy #mygirls #свадьба #красиваясвадьба #любовьбезпамяти #свадебныеплатья #вечерниеалатья #платьемечты #ясказалада #предложениерукиисердца