Serikali kwa mara ya kwanza itafanya mnada wa Madini ya Tanzanite kutoka kampuni nne za uchimbaji na biashara ya madini eneo la Mirerani wilayani Simanjiro, Manyara. Mnada huo utafanyika siku ya Oktoba 15 mwaka huu, pia mnada huo utawashirikisha wanunuzi kutoka ndani na nje ya nchi. Mnada huu utaendeshwa kwa usalama mkubwa kwa kuwa madini ya Tanzanite yana thamani kubwa. Serikali imeimarisha uli

 @jamiiforums on Instagram photo 13th October 2017

Photos from (@jamiiforums)

Popular Now