#Habari Kamati ya UJENZI WA OFISI ZA WALIMU DSM ikiongozwa na mwenyekiti wake Kanali Mbuge leo imetembelea magomeni kota kukagua eneo ambalo linaandaliwa na litatumika kufyatulia matofali ya ujenzi wa ofisi za walimu katika shule za Msingi na Sekondari Dar es salaam. Vilevile kamati ilifunga safari mpaka Bagamoyo mto Mpigi kuangalia eneo ambalo litachimbwa mchanga wa kufyatulia matofali.

 @channeltentz on Instagram photo 13th September 2017

Photos from (@channeltentz)

Popular Now